ISOME AZIZ KI HAKIKISHA
MABAO 21 kibindoni mwamba Aziz KI kakamikisha akiwa ni mfungaji bora msimu wa 2023/24 ambao umegota mwisho leo Mei 28 2024. Kwenye tuzo ya ufungaji bora hakikisha jina linasoma Aziz KI kwa kuwa amefanya kazi yake kwa ushirikiano mkubwa na wachezaji wengine ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ushindi wa mabao 4-1 waliopata Yanga mbele ya Tanzania Prisons umewapa pointi…