
VIDEO: MZARAMO SIMBA AWAZUNGUMZIA YANGA
SHABIKI wa Simba maarufu kama Mzaramo ameweka wazi kuwa kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Club Africain uliochezwa Uwanja wa Mkapa ameona mauzauza kwa kuwa jamaa walikuwa wanazuia tu na kwa ishara hiyo wakienda ugenini watapoteza