
ATEBA MKALI KWENYE PENATI, ALIKOSA NAFASI NYINGI MBELE YA PRISONS
KATIKA mabao 38 ambayo safu ya ushambuliaji ya Simba imefunga kinara wa utupiaji ni Leonel Ateba ambaye katupia mabao 8 msimu wa 2024/25. Ni mabao manne amefunga kwa penalti ikiwa inamanisha kuwa hajawa imara katika kumalizia nafasi ambazo anatengenezewa ndani ya uwanja hasa krosi. Katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Ateba alikosa nafasi zaidi ya…