SIKU YA KUONDOKA NA MKWANJA MREFU NI LEO

Jumapili ndio hii imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Unasubiri nini kuchukua chao mapema? Mechi za ligi kuu ya Italia SERIE A leo hii zinaendelea ambapo Atalanta atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Empoli ambao wanashikilia nafasi…

Read More

ARSENAL YAMPIGA MTU MKONO LIGI KUU

Gabriel ‘Jesus’ amefunga magoli mawili wakati Washika Mitutu Arsenal wakiendelea kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushusha kipigo cha 5-1 dhidi ya Crystal Palace ikiwa ni ushindi wao mkubwa zaidi msimu huu. Arsenal imefikisha pointi 33 baada ya mechi 17 huku wakiendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa…

Read More

BACELONA YAPIGIKA NYUMBANI LA LIGA

Bao la dakika za jioooni la Alexander Sorloth limeipatia Atletico Madrid pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika dimba la Olímpic Lluís Companys na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga). Atletico Madrid imefikisha pointi 41 baada ya mechi 18 huku Barcelona ikiporomoka mpaka nafasi ya pili pointi 38 baada ya mechi 19….

Read More

Meridianbet Waja na Shindano la Expanse Tena

Najua unafikiria namna gani unaweza kupiga mkwanja mrefu na kuifanya sikukuu yako kua nzuri na ya kibabe, Sasa kupitia shindano la michezo ya Expanse kasino unaweza kushinda kitita cha kutosha. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la…

Read More

DUBE AMEWEKA REKODI HII BONGO

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Yanga Prince Dube aeweka rekodi yake ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat trick kwenye ligi akifungua akaunti yake ya mabao akiwa na uzi wa Yanga baada ya kusajiliwa na timu hiyo akitokea Azam FC. Ipo wazi kwamba Dube ni mchezaji wa kwanza msimu wa 2024/25 kufunga hat trick ndani ya…

Read More

MWALIMU AWEKWA KWENYE RADA ZA TIMU KUBWA BONGO

MSHAMBULIAJI namba moja kwa utupiaji ndani ya Fountain Gate ni Suleman Mwalimu ambaye katupia mabao 6 msimu wa 2024/25. Taarifa zinaeleza kuwa Mwalimu amewekwa kwenye hesabu za timu kubwa Bongo ambazo zipo ndani ya tatu bora. Ikumbukwe kwamba mbali na kuwa namba moja kwa Fountain Gate ni namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi kinara…

Read More

ATEBA KATUPIA TATU KWA PENALTI BONGO

MSHAMBULIAJI kiongozi kwenye safu ya ushambuliaji Leonel Ateba ni mabao matano amefunga kibindoni msimu wa 2024/25 akiwa amecheza mechi 9 na kukomba dakika 673. Kwenye mechi mbili mfululizo Ateba amekuwa kwenye mwendelezo wa kufunga ndani ya ligi na kutwaa tuzo ya mchezaji bora mara baada ya dakika 90 kukamilika. Ikumbukwe kwamba mchezo dhidi ya Pamba…

Read More

CHAMA, AZIZ OUT YANGA

MASTAA wanne Yanga bado hali zao hazijawa imara kutokana na kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mechi zao za ushindani zilizopita hivyo kuna hatihati wakakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mashujaa, Uwanja wa KMC, Complex. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wachezaji ambao bado hawajawa imara kwa ajili ya mechi…

Read More

REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MABARA

Klabu ya Real Madrid imetwaa ubingwa wa kombe la Mabara kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Pachuca Fc ya Mexico kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Lusail mjini Lusail, Qatar. Ushindi wa Real Madrid unamfanya kocha Carlo Ancelotti kuweka rekodi ya kuwa kocha mwenye Mataji mengi zaidi katika historia ya klabu hiyo akifikisha jumla ya…

Read More