
MAKIPA YANGA NA SIMBA KWENYE VITA YAO HUKO
KUNA kazi nzito ndani ya uwanja kwenye msako wa pointi tatu muhimu kwa wababe wawili ambapo kila kona kuna kisanga cha maana kutokana na ubora wa Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC ikiwa ni namba nne kwa ubora Afrika. Weka kando vita ya kusaka ushindi ndani ya uwanja kwenye Kariakoo Dabi mchezo unaotarajiwa kuchezwa Machi…