
RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO, MBUZI TAMBO TUPU
LIGI namba nne kwa ubora inaendelea kuchanja mbunga ambapo l Februari 22 kunatarajiwa kuchezwa mechi mbili kali za kukata na shoka kwa wababe kuwa ndani ya uwanja. Issa Liponda maarufu kama Mbuzi ambaye ni Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapo tayari kusepa na pointi tatu muhimu ugenini kutokana na maandalizi ambayo wamefanya….