SIMBA: TUTAWAKAANGA SANA, KOMBORA LATUPWA JANGWANI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa watawakaanga sana wapinzani wao kutokana na ubora uliopo kwa wachezaji wao na matokeo ambayo wanapata.
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa watawakaanga sana wapinzani wao kutokana na ubora uliopo kwa wachezaji wao na matokeo ambayo wanapata.
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi zijazo watapambana kufanya vizuri kupata pointi tatu muhimu ndani ya uwanja msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa. Funga kazi ndani ya Azam FC kwa Septemba 29 ilikuwa dhidi ya Mashujaa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 0-0 Azam FC hivyo…
KARIAKOO Dabi ya Wanawake inatarajiwa kupigwa leo Uwanja wa KMC, Mwenge huku timu zote zikitamba kufanya vizuri kwenye msako wa ushindi wa Ngao ya Jamii 2024. Ikumbukwe kwamba ni Simba Queens hawa ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambalo walitwaa 2023 hivyo watakuwa kazini kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Yanga Princess….
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imetumia jumla ya Sh 69.3 millioni kukamilisha ujenzi na uboreshwaji wa zahanati ya kijiji cha Nangomba ya mkoani Mtwara. Fedha hizo zimetimika katika ujenzi, uboreshaji na upanuzi wa zahanati hiyo kupitia programu ya Dream Maker yenye lengo la kusaidia kutatua changamoto mbalimbali katika jamii nchini. Meneja Masoko kanda…
KAMPUNI ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari ubaya ubwela umeanza kufanya kazi kwa vitendo jambo linalofanya wapinzani wao kuanza kutapatata kwenye mechi ambazo haziwahusu kwa namna yoyote ile. Simba baada ya kucheza mechi nne za ligi imekomba 12 ikipata ushindi kwenye mechi zote ambazo ilicheza huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 10 ikiwa namba mbili…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kutokana na mwendo ambao wanakwenda nao ndani ya ligi kuna mtu atalia akiingia kwenye mfumo kutokana na ubora walionao na uwezo wa kutengeneza nafasi. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Agosti 29 na mwamuzi alikuwa ni William Abel Yanga ilifanya majaribio zaidi ya…
KOCHA Mkuu wa KMC Abdihamid Moalin amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwenye kuimarisha safu ya ushambuliaji ili kuwa bora kwenye mechi ambazo wanacheza za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. KMC mchezo wake uliopita ilikuwa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 1-0 KMC bao la ushindi lilifungwa na…
AHMED Ally, Meneja wa Habari Simba ameweka wazi kuwa wanaosema kuwa wanafanya malipo ili wasemwe vizuri hilo sio kweli huku akibainisha kuwa nyota wao Jean Ahoua akizidi kuwa bora kila wakati kutokana na ubora alionao.
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa una hasira kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga hivyo hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zijazo. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 29 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC na bao la ushindi lilifungwa na Maxi Nzengeli…
FISTON Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza ndani ya Pyramids ya Misri ameweka wazi kuwa mabosi wake wa zamani hao wana timu nzuri inayoonyesha ushindani kutokana na mwendo walionao katika mechi zao. Ikumbukwe kwamba nyota huyo alikuwa chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi alikuwa anatajwa pia kuwa kwenye…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia inayotafutwa ambapo kila mchezaji hajafikia asilimia ikiwa ni pamoja na Leonel Ateba, Jean Ahoua huku akizungumzia na hali ya Yusuph Kagoma ambaye bado hajawa kwenye ubora wake. Simba hii bado yaani nyeupee kabisa itakuwa hatari.
JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza uwanja wa nyumbani baada ya kucheza mechi mbili ugenini kwa kuanza na Kagera Sugar 0-2 Yanga, Ken Gold 0-1 Yanga hizi zote…
WAKIWA Uwanja wa Jamhuri, Dodoma wachezaji wa Simba na benchi la ufundi limeshuhudia ubao ukisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba baada ya dakika 90 kugota mwisho. Huu ni mchezo wa kwanza Simba kukamilisha dakika 45 bila kupata bao la kuongoza na wapinzani wao pia kutopata bao ndani ya dakika 45 za mwanzo. Beki wa kati wa…
SINGIDA Black Stars wamerejea kwa mara nyingine namba moja kwa kuishusha Fountain Gate ambayo iliweka kambi hapo kwa muda ilipopata ushindi kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Kagera Sugar. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania inawafanya wafikishe pointi 13 kibindoni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ambao ushindani wake ni mkubwa. Katika…
RASMI ile simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyopata nafasi ya kutoka kwenye gazeti la Championi Jumatano na kusomwa na zaidi ya Watanzania milioni sasa inapiga hodi Kigamboni mji ulitulia huku amani ikizidi kutawala kila kona. Ikumbukwe kwamba hii ni simulizi ya kwanza kuwa kwenye mfumo wa kitabu imeandikwa na Mtunzi Lunyamadzo Myuka, A…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji wataukabili kwa hesabu kubwa ya kupata pointi tatu kutokana na muda kuwa mchache kwenye maandalizi. Ni ushindi dhidi ya Azam FC ilipata kwenye mchezo wa Mzizima Dabi uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Septemba 26 mchezo ulichezwa na…