
YANGA YAMALIZANA NA SINGINDA BLACK STARS
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Ubao umesoma Yanga 2-1 Singida Black Stars kwa mabao ya Mzize dakika ya 14 alifikisha mabao 10 akiwa kinara katika chati ya utupiaji Bongo. Bao la pili ni mali ya…