HII HAPA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Yanga watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex kwenye msako wa pointi tatu. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kupata pointi tatu, ukiweka kando mchezo huo kuna mchezo mwingine utakaowakutanisha wababe…

Read More

KIUNGO WA KAZI AREJEA SIMBA

BAADA ya kukoseka kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara kiungo mkandaji wa Simba amerejea katika uwanja wa mazoezi ikiwa tayari kwa mechi zijazo ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kibu Dennis maarufu kwa jina la Mkandaji alipata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United ambapo baada ya dakika…

Read More

Suka Jamvi na BET BUILDER Ndani ya Meridianbet

Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet imekuletea chaguo linaloitwa BET BUILDER ambapo hapa unaweza kuchagua machaguo mengi kwenye timu moja mfano. JKT vs Yanga unaweza ukampa Yanga ashinde, mechi itoe magoli 3, mgeni ashinde vipindi vyote nakadhalika. Maana ya  BET BUILDER ni, BET BUILDER ni huduma inayotolewa na Meridianbet kwenye kubashiri ambayo hii inakupa nafasi ya…

Read More

ALI KAMWE APELEKWA KAMATI YA MAADILI

 ALI Kamwe ambaye Ofisa Habari wa Yanga amepelekwa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, (TFF) na Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Masanzala. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB), imeeleza kuwa katika kikoa cha Februari 12 2025 walipitia mwenendo wa…

Read More

BEKI HUYU ATAJWA KWENYE RADA ZA SIMBA

BEKI wa kazi  Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba. Chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kikosi cha Simba kimeruhusu mabao sita yakufungwa na katika hayo mawili wachezaji wa timu hiyo walijifunga, Ladack…

Read More

MERIDIANSPORTS WAMERUDISHA KWA JAMII TENA

Ni shangwe ndani ya Jangwani sekondari ambapo wamefikiwa na Meridiansports ambao wamefika kwenye shule hiyo na kutoa msaada ili kuendeleza kile ambacho wamekua wakikifanya kwa muda mrefu sasa Huu umekua utartibu wa Meridiansports miaka na miaka kuhakikisha wanagawana kile kidogo wanachopata pamoja na jamii yao, Leo waliofanikiwa kufikiwa na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri…

Read More

JKT TANZANIA WAPIGWA NA SINGIDA BLACK STARS NYUMBANI

Jonathan Sowah amefunga bao lake la pili la msimu kwenye mechi yake ya pili kwenye Ligi Kuu bara akiiandikia Singida Black Stars bao la ushindi katika Dimba la Meja Jenerali Isamuyo dhidi Maafande wa JKT Tanzania ambao waliikazia Yanga Sc kwenye mchezo uliopita na kuondoka na alama moja kwenye dimba hilo. Singida Black Stars wanaendelea…

Read More