
YANGA NA SHANGWE NDANI YA MBEYA
BAADA ya kuwa kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kikosi cha Yanga leo kitakuwa na kazi Mbeya. Wachezaji wa Yanga pamoja na Benchi la ufundi Juni 5, 2023 walikuwa kwenye halfa ya pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Safari…