
VIDEO: NYOTA SIMBA AFUNGUKIA ISHU YA CLATOUS CHAMA KUCHUJA
ERASTO Nyoni kiraka ambaye kwa sasa yupo ndani ya kikosi cha Namungo na aliibuka hapo akitokea Simba amefungukia ishu ya uwezo wa Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo ndani ya kikosi cha Yanga.