
YANGA HAO MALAWI KWA KAZIKAZI
MSAFARA wa Yanga leo Julai 5 umeanza safari kwa ajili ya kuelekea nchini Malawi. Timu hiyo imealikwa katika mchezo maalumu wa siku ya Uhuru ikiwa ni miaka 59 ya Uhuu wa Malawi. Julai 6 kikosi cha Yanga kinatarajiwa kucheza mchezo maalumu katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru. Miongoni mwa nyota waliopo katika kikosi ni…