
SIMBA YATOA TAMKO KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO ‘YATANGAZA KUSUSIA MECHI’ LEO KWA MKAPA
Klabu ya Simba imesema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya Timu hiyo kuelekea Mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga, Simba ikiwa timu mgeni ambapo kufuatia suala hilo Simba imesema haitoshiriki mchezo husika. Taarifa iliyotolewa na Menejimenti ya Simba imesema kwa mujibu wa kanuni 17 (45) ya Kanuni za Ligi Kuu Bara,…