
CHUMA KINGINE CHA KAZI NDANI YA SIMBA
KUTOKA Mtibwa Sugar inayotumia Uwanja wa Manungu kwa mechi za nyumbani amerejea ndani ya kikosi cha Simba beki wa kupanda na kushuka. Beki huyo ni shuhuda Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Mchezo wa kwanza kwa Simba utakuwa wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate…