
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL MASRY, CAMARA NDANI
MOUSSA Camara kipa namba moja wa Simba amepangwa kuanza kikosi cha kwanza dhidi ya Al Masry mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Suez, saa 1:oo kwa saa za Afrika Mashariki. Simba inakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Al Masry mchezo wa hatua ya robo fainali ambapo mbali na Camara ni Chamou, Fabrince Ngoma, Jean Ahoua, Shomari…