
PANGA LINAPITA NDANI YA SIMBA BOSI AMESEMA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah ‘Try Again’ amewapa mwezi mmoja na nusu mastaa wao kutumia kipindi hicho kujihakikishia nafasi ya kubaki kikosini. Simbahaijawa kwenye mwendo mzuri mwanzo wa msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kufikia malengo yao ambayo walijiwekea ikiwa ni pamoja na mashindano ya African Football League. Mashindano hayo mapya…