
MAAMUZI MAZITO YAFANYIKA SIMBA, GAMONDI NA VITA TATU
MAAMUZI mazito Simba, Gamondi ajipanga kwa vita tatu Bongo ndani ya Championi Jumatatu.
MAAMUZI mazito Simba, Gamondi ajipanga kwa vita tatu Bongo ndani ya Championi Jumatatu.
JANUARI 13 2024 mashindano ya Mapinduzi 2024 yaligota mwisho huku Mlandege wakitwaa taji hilo mara ya pili mfululizo kwa ushindi wa bao 1-0 Simba. Baada ya mchezo huo bosi wa Yanga ameweka wazi kuwa alitambua mapema kwamba hakuna timu iliyokuwa na uwezo wa kuizuia Mlandege kutwaa kwa mara ya pili taji hilo jambo ambalo limetimia.
Michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON kuendelea kutimua vumbi leo huko nchini Ivory Coast na timu kadhaa leo zitashuka dimbani kutafuta alama tatu muhimu kwajili ya kufuzu hatua inayofuata. Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet hawataki uangalie AFCON kinyonge, Kwani wamekuwekea Odds za kutosha katika michezo ambayo itapigwa leo hivo ni…
BAADA ya kuondolewa katika Mapnduzi 2024 katika hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Singida Fountain Gate wameweka shida chini na kuwapa ruhusa wachezaji kula bata kwa mapumziko mafupi. Ipo wazi kuwa Januari 10 ubao ulisoma Singida Fountain Gate 1-1 Simba kwenye penalti ilikuwa Singida Fountain Gate 2-3 Simba na timu hiyo ikagotea hatua ya…
AMEPEWA onyo nyota wa Simba na benchi la ufundi ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuhusu kazi na nidhamu kwenye kikosi hicho ambacho kimegotea nafasi ya pili kwenye Mapinduzi 2024 kwa kushuhudia ubao ukisoma Mlandege 1-0 Simba.
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa alitabiri tangu awali kuwa Mlandege walikuwa na nafasi ya kutwaa taji la Mapinduzi 2024 kwa mara nyingine tena. Ipo wazi kuwa Januari 13,2024 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ilikuwa Mlandege 1-0 Simba na taji likabaki Zanzibar. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 54…
Mambo vipi mteja wa meridianbet, leo kama kawaida pesa zinamwagika kule meridianbet kwakua ligi zinaendelea basi na wewe una nafasi ya kuvuna mpunga ukichagu timu zako za ushindi kuanzia kule EPL, BUNDESLIGA na nyingine nyingi. Ingia na usuke mkeka sasa. Tukianza pale LALIGA leo hii mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 10:00 jioni ambapo UD…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Muivory Coast, Aubin Kramo ametaja siku atakayorejea kuichezea timu hiyo, huku akiahidi kuifanyia makubwa. Kiungo huyo yupo nje ya uwanja muda akiuguza majeraha ya goti ambayo alifanyiwa operesheni. Nyota huyo alifanyiwa operesheni hiyo nchini Afrika Kusini baada ya Madaktari kushauri. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kramo alisema kuwa rasmi anatarajiwa kurejea uwanjani…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha amefunguka kukoshwa na kiwango cha nyota wake, Fabrice Ngoma huku akisema kuwa amekuwa na msaada mkubwa kwa timu hiyo jambo ambalo kwake kama mwalimu anavutiwa nalo. Ngoma ambaye amesajiliwa na Simba akitokea katika klabu ya Al Hilal ya Sudan, ni moja kati ya wachezaji wenye uhakika wa kucheza…
FT Mlandege 1-0 Simba Mlandege ni mabingwa wa Mapinduzi kwa mara ya pili walianza kutwaa mbele ya Singida Fountain Gate 2023 na 2024 mbele ya Simba. Akandwanao amefunga bao kipindi cha pili akiwa ndani ya 18 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Simba kwenye kukaba mali Kipindi cha pili Uwanja Amaan Complex ngoma ni…
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanakukaribisha wewe mteja wao katika michuano ya mataifa Afrika kwa mwaka 2024 yanayofahamika kama AFCON ambapo utapata fursa ya kupiga mkwanja. Leo ndio michuano ya AFCON itafunguliwa rasmi ambapo wenyeji wa michuano hiyo timu ya taifa ya Ivory Coast watacheza na timu ya taifa ya Guinnea- Bissau…
KIKOSI cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya Mlandege kipo namna hii:- Ayoub Lakred Shomari Kapombe Israel Mwenda Kazi Che Malone Fabrince Ngoma Luis Miquissone Babacar Sarr Moses Phiri Saido Ntibanzokiza Willy Onana Akiba Ally Salim Abel Duchu Kennedy Hamis Karabaka Chasambi Baleke
LEO ni leo kwa wakali kwenye mapigo ya penati kukutana kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya Mapinduzi 2024 , Zanzibar. Ipo wazi kwamba ni Mlandege ambao ni mabingwa watetezi dhidi ya Simba wenye shauku ya kutwaa taji hilo na rekodi zinaonyesha kwamba timu zote zilitinga hatua ya fainali kwa kushinda kwa penati katika hatua ya…
Meridianbet inakupa nafasi ya kukwapua mpunga wa maana leo hii ukibashiri mechi za leo kwenye ligi zozote kama vile Epl na zingine amabzo zinatarajia kutimua vumbi huku ukiwa tayari umewekewa ODDS za kibabe na machaguo ya kutosha kazi inabaki kwako tuu. Jumamosi ya leo farasi ananipeleka hadi pale Uingereza katika ligi kuu yani EPL ambapo…
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdlehakh Benchika humwambii kitu kwa kiungo wa kazi Fabrince Ngoma ambaye hana jambo dogo kwenye majukumu yake ndani ya uwanja. Ipo wazi kuwa Simba Jnuari 13 wanatarajia kucheza fainali dhidi ya Mlandege ambapo kwenye mechi zote tano ambazo walicheza tatu za makundi, moja robo fainali na moja hatua ya nusu fainali,…
KLABU ya Asec Mimosas ya Ivory Coast imekubali kufanya mazungumzo rasmi na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wake, Sankara Karamoko mwishoni mwa msimu huu. Hata hivyo mazungumzo hayo ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 yatalenga zaidi usajili wa dirisha kubwa na sio hili dogo. Kwa mujibu wa chanzo kutoka Yanga kimeliambia…
INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Cripin Ngush ambaye ni mshambuliaji atakuwa ndani ya uzi wa Coastal Union ya Tanga kwenye kupambania nafasi kikosi cha kwanza. Ipo wazi kwamba mshambuliaji huyo mzawa ambaye aliibuka ndani ya Yanga akitokea Mbeya Kwanza hana nafasi kikosi cha kwanza. Alipata zali la kuanza kikosi cha kwanza kwenye baadhi ya mechi…