
SIMBA WAIPIGIA HESABU COASTAL UNION
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa kwasasa ni kupata pointi tatu mbele ya Coastal Union wakiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza mchezo uliopita Uwanja wa Jamhuri, Morogoro dhidi ya Tanzania Prisons. Ipo wazi kwamba mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ilikuwa dhidi ya Yanga, Novemba 5 2023 ubao…