
MSHAMBULIAJI WA YANGA MZIZE APIGWA FAINI
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0 Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0 Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja
Mambo vipi mteja wa meridianbet? Je unajua kuwa hapa ndio sehemu sahihi za wewe kusuka jamvi lako na kuanza kubashiri mechi zako kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi?. Leo AC Milan, AS Roma, Benfica wote hao na wengine uwanjani unakosaje pesa sasa? Tukianza na mechi ya Benfica Lisbon dhidi ya Toulouse FC, kwanza mechi…
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la mashabiki wake watatu (3) kuonekana kwenye eneo la vyumba vya kuvalia kuelekea mchezo wake dhidi ya Tanzania Prisons uliomalizika kwa Yanga kushinda 2-1 katika dimba la Sokoine. kinyume na taratibu za mchezo.
Utaratibu wa kuhakikisha wateja wa Meridianbet wanapiga mkwanja utaendelea leo ambapo michezo mbalimbali ya Uefa Conference itaendelea, Huku michezo hiyo ikipewa ODDS KUBWA ili kumuwezesha mteja kupiga mkwanja. Michezo ambayo itapigwa leo katika viwanja mbalimbali itakua imepewa ODDS nzuri kwenye tovuti ya Meridianbet, Hivo ni nafasi kwa mteja kuweza kujipigia maokoto kupitia michezo itakayopigwa leo….
MATAJIRI wa Dar Azam FC wanazipigia hesabu pointi tatu za Geita Gold kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 16 Uwanja wa Azam Complex. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC mchezo wake uliopita ilikuwa ni kiporo ambapo waligawana pointi mojamoja na Simba. Katika mchezo huo baada ya dakika…
Kocha wa zamani wa Chelsea Thomas Tuchel ambaye kwa sasa anainoa Bayern Munich yupo kwenye orodha ya makocha wanaopigiwa upatu kuchukua mikoba ya Xavi Hernandez kunako klabu ya Barcelona. Itakuwa mnamo Januari 27, 2024 kufuatia kipigo cha 5-3 dhidi ya Villarreal, Xavi alifichua kuwa ataondoka Barcelona mwisho wa msimu huu.
Mchezaji anayekipiga katika timu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi, Quincy Promes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevya. Promes ambaye aliwahi kuitumikia timu ya Taifa ya Uholanzi kati ya mwaka wa 2014-2021 hakuwepo wakati hukumu inatolewa katika mji wa Amsterdam Uholanzi. Pia mchezaji huyo mwenye…
KAMPUNI ya michezo na kubashiri Tanzania, SportPesa ambao ni wadhamini wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamemtangaza mshindi wa SportPesa Supa Jacpot ambaye ni kijana wa miaka 27. Leo Februari 15 imefanyika hafla fupi ya kumpongeza kijana huyo David Mwenge Nyantora ambaye ni mjasiriamali na kumkabidhi zawadi yake hiyo huku akiweka wazi…
LIGI kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Februari 15, 2024 kwa mechi tatu. • 16:00 • JKT Tanzania vs Simba SC ?️ Meja Jenerali Isamuhyo • 16:00 • Tanzania Prisons vs Singida FG FC ?️ Sokoine, Mbeya • 20:15 • Coastal Union vs Dodoma Jiji FC ?️ Mkwakwani, Tanga ▪️Mchezo wa JKT Tanzania…
Mbele yako ni Mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana na kubeba siri kubwa ya Miungu 12 ya Ugiriki. JISAJILI NA MERIDIANBET ufurahie kasino ya mtandaoni yenye MAOKOTO kibao. Mlima Olympus unachukuliwa kuwa mmoja wa milima inayotamaniwa zaidi duniani si tu kwa sababu…
Wewe mwana Meridianbet leo unaweza kuifanya sikukuu yako ya wapendanao kua ya kipekee pale tu ambapo utaweka mkwanja na kubashiri michezo ya ligi ya mabingwa ulaya ambayo itakwenda kupigwa usiku wa leo. Leo kutakua na michezo mikali kwenye ligi ya mabingwa ulaya ambapo klabu ya Lazio itakua nyumbani kuwakaribisha miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita Simba ilikuwa ugenini ilivuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa bao la Babacarr Sarr dakika ya 81 kwenye mchezo huo akitumia pasi…
KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa imemtangaza mshindi wa Jackpot ya shilingi 265,780,681 TZS David Mwenge Nyantora (27). David ambaye ni mwajiriwa alibashiri kwa usahihi mechi 13 kati ya 13 kwenye mechi za Supa Jackpot ambayo inamgawanyiko wa Jackpot za mechi 17,16,15,14 na 13 iliyopata mshindi. Akimtangaza mshindi huyo wa awamu ya kumi Mwenyekiti wa…
KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…
Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream. Cake and Ice Cream ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Red Tiger. Katika mchezo…
UEFA kupigwa leo hii kwa mechi mbili kali kwelikweli huku kuna City na Copenhagen na kule kuna Real Madrid dhidi za RB Leipzig nani kuanza vyema kwenye hatua ya 16 bora leo mechi za kwanza?. Tupia mkeka wako pale meridianbet na ujiweke kwenye nafasi za kuwa Milionea. Pep Guardiola Machester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi…