
WIZARA YA MICHEZO IMEGHARAMIA SAFARI YA MASHABIKI YANGA
RAIS wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said ameweka wazi kuwa anaishukuru Serikali kwa kugharamia gharama za mashabiki kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa Machi 30 baada ya dakika 90 ubao…