
NAPE NAUYE: LADY JAYDEE AMEUHESHIMISHA MUZIKI WA TANZANIA – VIDEO
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amempongeza msanii mkongwe Lady Jaydee kwa mchango wake mkubwa katika kukuza na kuiheshimisha sanaa ya muziki wa Tanzania. Akizungumza katika usiku wa sherehe ya kuadhimisha miaka 25 ya mwanamuziki huyo kwenye tasnia ya muziki, iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki – Dar es Salaam, Nape amesema kuwa Lady Jaydee…