MAN UTD YACHAPIKA TENA UEFA, RASHFORD APEWA KADI NYEKUNDU

Manchester United iliyokuwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Marcus Rashford kuoneshwa kadi nyekundu imekubali kichapo cha 4-3 dhidi ya wenyeji FC Copenhagen katika dimba la Parken, Copenhagen. FT: FC Copenhagen ?? 4-3 ??????? Man United ⚽ Elyounoussi 45′ ⚽ Goncalves 45+9′ ⚽ Lerager 83′ ⚽⚽ Højlund 2′ 27′ ⚽ Bruno (P) 69′ ? Rashford…

Read More

MATOLA SELEMAN KAZINI NDANI YA SIMBA

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo. Novemba 8 2023 alitambulishwa kurejea ndani ya kikosi cha wakubwa baada ya kuwa katika timu ya vijana. Anashirikiana na Kaimu Kocha Mkuu Cadena Daniel ambaye alikuwa ni kocha wa makipa akichukua kwa muda majukumu ya Roberto Oliveira raia wa Brazil. Mchezo…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Huu ni mchezo wa ligi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwenye mchezo utakaochezwa saa 12:30:- Aboutwalib Mshery Yao Attouhula Kibabage Bacca Nondo Aucho Maxi Muda Musonda Aziz KI Zouzoua

Read More

SIMBA KAMILI KUKABILIANA NA NAMUNGO

DANIEL Cadena, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amesema wamefanya maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Novemba 9 2023. Ikumbukwe kwamba Simba imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yànga, Novemba 5 2023. Cadena ambaye aliwahi kuinoa Azam FC kwa upande…

Read More

HAKUNA UNYONGE JUMATANO HII LIGI YA MABINGWA ULAYA IMEREJEA MZIGO UPO WA KUTOSHA

MZIGO UPO WA KUTOSHA Kama ulifikiri wiki hii itapita kinyonge basi umekosea sana kwani ligi ya mabingwa ulaya imerejea wiki hii  na inatoa fursa kwa wewe mteja wa Meridianbet, Kwakua itapigwa michezo mbalimbali leo katika viwanja tofauti tofauti barani ulaya. Michezo mbalimbali itakayopigwa leo ni wazi ni michezo mikali na yenye ushindani mkubwa, Huku ikiwa…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye mikono salama ya kocha wa muda ambaye amechukua mikoba ya Roberto Oliveira. Kocha Oliveira ambaye alikomba tuzo ya kocha bora ndani ya ligi Oktoba kutokana na mwendo wake bora alikutana na mkono wa asante Novemba 7 ikiwa ni baada ya kupoteza mchezo wa ligi dhidi…

Read More

GAMONDI MASTA KUWABADILISHIA MBINU WAPINZANI

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anaingia uwanjani kulingana na aina ya wapinzani ambao atakutana nao ndani ya dakika 90. Novemba 5 Yanga ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Pointi tatu kibindoni na…

Read More

PESA ZINAMIMINIKA LEOUSIKU MECHI ZA UEFA, PIGA MKWANJA

Habari mteja wetu pendwa wa Meridianbet, kama kawaida leo hii usiku wa Ulaya unaendelea huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea mechi za kupiga mkwanja pamoja na ODDS za kibabe hapo. Unachotakiwa kufanya ni kuingia Meridianbet haraka na kuanza kubashiri. Kaatika dimba la San Siro ambapo AC Milan atakuwa mwenyeji wa PSG. Milan yupo nafasi ya mwisho…

Read More

MKANDAJI KAKANDWA KARIAKOO DABI NYUMBANI

ASIYEKUBALI kushindwa si mshindani wanasema hivyo. Ilikuwa ni jasho la kazi kwa wanaume 22 kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa na mwisho ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Wakandaji Simba wakiwa nyumbani walikandwa na wapinzani wao Yanga kwenye msako wa pointi tatu muhimu.Hapa  tunakuletea namna kazi ilivyokuwa namna hii:- Aishi Manula Mchezo wake wa kwanza ndani ya…

Read More

OGOPA MAPAPELI SALAH HAUZWI

JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…

Read More