
ISHU YA INONGA NA KOCHA MPYA SIMBA WAFUNGUKA NAMNA HII
PASI milioni shabiki wa Simba amefungukia ishu ya usajili wa timu ya Simba huku akibainisha kuhusu mtu wa kazi Henock Inonga na usajili wake Simba pamoja na kocha mpya
PASI milioni shabiki wa Simba amefungukia ishu ya usajili wa timu ya Simba huku akibainisha kuhusu mtu wa kazi Henock Inonga na usajili wake Simba pamoja na kocha mpya
Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya ‘VAR’ kuanzia Msimu ujao – Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024 ambapo imeelezwa Bodi inatambua haki ya Wolves kutoa pendekezo hilo, lakini inadhani…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…
Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi. Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti…
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…
YANGA baada ya kucheza mechi 27 safu yake ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 60 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi zake kibindoni ni 71. Kinara wa mabao ndani ya Yanga ni Aziz KI ambaye katupia jumla ya mabao 15 na pasi 8 za mabao. KI amehusika katika mabao 23 yaliyofungwa na Yanga…
AYOUB Lakred kipa wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za timu kutoka timu za Morocco ambazo zinahitaji saini yake nyota huyo chaguo la kwanza kwa Juma Mgunda
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika. Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha…
Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, ameteuliwa na FIFA kuchezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia, Malawi vs Sáo Tomé utakaochezwa June 6, 2024, Arajiga atasaidiwa na waamuzi wengine wa Tanzania Frank Komba, Kasim Mpanga na Hery Sasii.
Manchester City imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo. FT: Tottenham Hotspur 0-2 Manchester City ⚽ Haaland 51′ ⚽ Haaland 90′ MSIMAMO ?2️⃣ EPL ??????? ? Man City — mechi 37— pointi 88 — magoli +60…
Rise of Coins ni mchezo wa sloti katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye safu tano zilizopangwa kwenye mistari mitatu na ina nguzo 10 za malipo yasiyobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama mbili au tatu zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni Sarafu ni alama pekee zinazotoa malipo hata ukiwa…
Umepita Mwaka mmoja tangu yafanyike makubaliano ya maridhiano ya kibiashara kati ya Meridianbet na Golden Matrix Group, ilikuwa ni Januari 2023 sehemu ya maridhiano hayo ilikuwa ni umilikishwaji wa hisa za Meridianbet Group kwa GMG. Na sasa baada ya hayo kufanyika wachezaji na wafuasi wa Meridianbet wanaweza kuwa sehemu muhimu wa kampuni sio tu kwa…
YANGA chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2023/24 baada ta kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote Bongo. Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibw Sugar umewapa taji hilo la 30 wakitwaa mara tatu mfululizo wakiwa ni watawala katika zama za sasa. Licha ya Mtibwa Sugar kuanza kupata…
AMETOA onyo bosi Simba ishu ya Kibu Dennis kuwa kwenye hesabu na timu nyingine pamoja na saini yake
Mabingwa hawasauliki ndani ya meridianbet hasa ukiwa na Airtel Money, kwa kuthamini wateja wetu wa airtel tumewaletea promosheni itakayowapa nafasi ya kutoboa kibingwa kwenye kila muamala watakofanya kupitia airtel Money. Meridianbet tunasema ukitaka tobo basi bashiri nasi utoboe kibingwa. Ni siku tisini za kutoboa kibingwa na meridianbet hasa ukitumia airtel money, kuanzia leo hii ya…
Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Mei 13, 2024 huku macho na masikio yakielekezwa katika dimba la Manungu Complex, Turiani Morogoro ambapo Wananchi wanatarajiwa kutangazwa kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya 30 kihistoria ikiwa watachukua pointi tatu dhidi ya Wakata Miwa. 16:00 | Mtibwa Sugar vs Yanga Sc ?️ Manungu…
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zimechukua sura mpya baada ya Washika Mitutu, Arsenal kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 0-1 Arsenal ⚽ Trossard 21’ MSIMAMO ?2️⃣ ? Arsenal— mechi 37 — pointi 86 ? Man City…