
AZIZ KI AKUBALI MUZIKI WA CHAMA/DUBE
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki ameweka wazi kuwa Clatous Chama ni kiungo mwenye uwezo mkubwa hivyo ni furaha kuwa naye katika kikosi kwa msimu wa 2024/25. Kumbuka kwamba Chama aliibuka Yanga akitokea Simba alitambulishwa Julai Mosi 2024.