SIMBA MATUMAINI KIBAO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Ndoto ya kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ni ndoto ambayo klabu ya Simba wamekua wakiiota kila siku, Lakini ilionekana kuingia wasiwasi kutokana na mwanzo wao katika michuano hiyo msimu huu. Baada ya ushindi wa mabao mawili kwa bila walioupata katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumanne umeibua matumaini upya kwa klabu…

Read More

ONANA WA SIMBA ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake ndani ya kikosi ni sababu iliyowapa nguvu wakashinda. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Wydad Casablanca na mabao yote yalifungwa na Onana. Onana alifunga mabao hayo akitumia…

Read More

NAMUNGO WANA JAMBO LAO HUKO

UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga…

Read More

ZILIZOPO MKIANI MUHIMU KUONGEZA JUHUDI

KAZI ni kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kila timu kuonyesha uwezo wake kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Ipo wazi kuwa mzunguko wa kwanza kila timu inapambania malengo yake huku baadhi ya timu zikiwa kwenye nafasi ya mwisho wengi hupenda kuita nafasi ya mkiani. Kikubwa ambacho kinatakiwa kwa timu…

Read More

YANGA YAGOMEA JAMBO HILI CAF

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa haujakata tamaa kwenye mashindano ya kimataifa malengo yao bado yapo kuona kwamba wanafikia hatua ya robo fainali. Katika mechi tatu ambazo ilicheza, Yanga ilivuna pointi mbili na safu ya ushambuliaji ilitupia mabao mawili huku ile ya ulinzi ikiruhusu mabao matano.  Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa malengo…

Read More

NAMNA SIMBA WALIYVOANZA KUONANA KIMATAIFA/ BADO MMENUNA

KWENYE anga la kimataifa Simba wamepata ushindi wa kwanza msimu wa 2023/24 dhidi ya Wydad Casablanca kwa mabao ya kiungo mshambuliaji Willy Onana ambaye alipachika mabao yote mawili. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Onana alitumia pasi kutoka kwa kiungo mshambuliaji Kibu Dennis. Simba inafikisha pointi tano ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo ikitoka…

Read More

MAAGIZO HAYA YAMETOLEWA NA MASTA GAMONDI

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote kuanzia kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, safu ya ushambuliaji ya Yanga ilitupia mabao…

Read More

SIMBA NA YANGA ZAPEWA TANO NA KOCHA BONGO

MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba wanafanya kazi kubwa licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri. Ipo wazi kwamba Yanga na Simba zinaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye hatua ya makundi ambapo timu zote zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani…

Read More

ZAMU YA YANGA KUWAPA FURAHA MASHABIKI

KIMATAIFA mwendo ni mbovu kwa timu zote mbili ambazo zimetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na picha ya mechi za tatu za awali ilivyokuwa. Katika safu ya ushambuliaji inaonekana matatizo ni makubwa kwa timu zote na hata ulinzi pia ni shida hivyo ni muhimu benchi la ufundi kufanyia kazi. Yanga na Simba…

Read More