SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KMC
BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa litaingia kwa tahadhari kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Simba ilitoka kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wao uliopita wa ligi ambapo mabao yalifungwa na Saido Ntibanozkia, Sadio anoute na John Bocco. Leo…