
?????? ?? ????????? USAJILI WA BOKA YANGA
Wing-back fundi Chadrack Boka (24) @chadrac.boka ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 24|25. Amesaini mkataba wa miaka miwili, kinachosubiriwa ni (ITC) yake pekee. Amechelewa kuwasili Nchini Tanzania kwa sababu klabu aliyotoka FC Lupopo haikutaka mchezaji huyo aondoke. FC Lupopo wanadai mchezaji huyo ni wao wamekiambia Chama cha soka Nchini DRC (FA) kisitume (ITC)…