SIMBA SC KAMILI KWA KARIAKOO DABI

UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 15 2025. Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Machi 8 2025 ukayeyuka baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TBLB) kubainisha kuwa mchezo huo namba 184 umeahirishwa na utapagiwa tarehe nyingine. Yanga SC ilibainisha kuwa mchezo huo…

Read More

JOB KUONGEZEWA MKATABA YANGA SC

DICKSON Job beki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi anatajwa kuwa ameitwa mezani ili kujadili suala la kuongeza mkataba wake mpya. Beki huyo amekuwa kwenye ubora wake kwenye mechi ambazo anacheza jambo ambalo linaongeza thamani yake kuzidi kupanda. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Muungano Cup 2025 kugota mwisho na Yanga SC kutwaa…

Read More

NGOMA AFICHUA SIRI YA BAO LA USHINDI

FABRINCE Ngoma kiungo mshambuliaji wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kuwa siri ya kufunga bao la ushindi dhidi ya JKT Tanzania ni kutimiza majukumu ya timu kwenye msako wa pointi tatu. Mei 2 2025 Simba ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mashujaa FC ambapo walipata ushindi wa mabao 2-1 na…

Read More

YANGA SC YAIGOMEA KARIAKOO DABI MAZIMA

YANGA SC wamebainisha kuwa msimamo wao kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC uliotarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 upo palepale. Yanga imebainisha kuwa msimamo wao upo palepale kuhusu mchezo huo licha ya CAS kutoa majibu ya kesi yao kuhusu kesi ya mchezo huo. Taarifa iliyotolewa na Yanga SC Mei 5 2025 imeeleza namna…

Read More

PACOME AITWA NA MABOSI YANGA SC

NYOTA wa Yanga SC Pacome Zouzoua inaelezwa kuwa ameitwa na mabosi wa timu hiyo ili kujadili kuhusu kuongeza mkataba kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Pacome ni chaguo la kwanza la Hamdi ambapo kwenye msimu wa 2024/25 kacheza jumla ya mechi 23 Pacome kahusika kwenye mabao 18 akiwa kafunga…

Read More

MERIDIANBET YAZINDUA “GATES OF OLIMPIA” – SLOTI MPYA YA KIPEKEE KUTOKA EXPANSE STUDIOS

Meridianbet inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse Studios, sasa inapatikana kwa wateja wa Meridianbet pekee. Ikiwa katika dunia ya hadithi za Kigiriki, Gates of Olimpia huleta uhalisia wa miungu wa kale kupitia picha za…

Read More

YANGA SC NI 10 KWA MNYAMA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga SC tofauti yao kwenye pointi na Simba SC ni pointi 10. Ikumbukwe kwamba wababe hawa wawili hawajakutana mzunguko wa pili baada ya mchezo wao kuyeyuka Machi 8 2025 unatarajiwa kupangiwa tarehe na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Sababu ambazo zilisababisha…

Read More

MAAJABU YA WILD 27 KASINO YA MTANDAONI

 Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Kwenye mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda matamu,…

Read More

UNYAMA NI MWINGI NDANI YA MERIDIANBET LEO

Ni Ijumaa ya kwanza ya mwezi Mei ambapo mwezi huu umekuja kivingine ndani ya Meridianbet. Unajua kwanini?, Ni kwasababu huu ndio mwezi ambao ligi zinaenda kuisha hivyo fanya kubashiri mapema uibuke bingwa kabla ligi hazijaisha. SAUDI ARABIA ligi kuu itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Al Ettifaq ataumana dhidi ya Al Khaleej ambapo tofauti ya pointi…

Read More