Hiki hapa kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC

MABINGWA watetezi wa taji ya Ngao ya Jamii wapo Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa ushindi ndani ya uwanja. Dakika 45 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Mkapa ukiwa unasoma Yanga SC 0-0 Simba SC, Septemba 16 2025 huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Katika mchezo wa leo mwamuzi wa kati ni Ahmed Arajiga ambaye anasimamia…

Read More

YANGA SC YAISOMA SIMBA SC KWA VIDEO KAZI IPO

DICKSON Job beki wa Yanga SC amefichua kwamba wachezaji wageni wamepewa video za wapinzani wao Simba SC ili watambue namna ya kukabiliana nao. Miongoni mwa wachezaji wageni ndani ya kikosi cha Yanga SC ni Celestin Ecua ambaye kwenye mchezo wa Yanga Day dhidi ya Bandari alifunga bao akitumia pasi ya mshambuliaji Prince Dube. Ecua anapewa…

Read More

CHAMA AIPA UBINGWA SINGIDA BLACK STARS ATAJA SIRI

Kiungo mpya wa Klabu ya Singida Black Stars, Clatous Chama ameipa ubingwa wa kwanza timu hiyo baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa fainali Kagame Cup 2025. Singida Black Stars ilitinga hatua ya fainali kwa kuifungashia virago KMC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali iliyochezwa Uwanja wa KMC Complex. Kwenye mchezo huo uliochezwa…

Read More

LALIGA & SERIE A ZATOA NAFASI MPYA ZA KUSHINDA

Utajiri upo mkononi mwako na Meridianbet siku ya leo endapo utaamua kutengeneza jamvi lako na kubashiri mechi za leo. Wikendi ilikuwa nzuri kwani watu wengi wameondoka na mshiko mkononi na hivi sasa ni zamu yako. Jisajili sasa na ujishindie hapa. SERIE A kule Italia kutakuwa na mechi kali mbili kati ya Hellas Verona vs US…

Read More

Jean Ahoua kwenye mtihani mwingine Simba SC

JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja wa Simba SC kwenye mtihani mwingine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids itakuwa Septemba 16 2025. Ahoua ni namba moja kwenye utengenezaji mipango ndani ya kikosi hicho, msimu wa 2024/25 alitengeneza jumla ya pasi 9 za mabao. Mbali na kutengeneza pasi hizo 9 za mabao…

Read More

BETWAY TUNZO, MCHONGO MPYA UNAOWAPA WATEJA SABABU ZAIDI ZA KUCHEZA NA BETWAY

Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na ubunifu mkubwa ambao unaendelea kuboresha uzoefu wa mteja kwenye kubashiri. Ukizingatia wingi wa huduma za kipekee ambazo Betway imeleta karibu na mteja kama vile Win Boost, Bet Influencer, Bet Saver, Cash Out na nyingine kibao,…

Read More