NAMUNGO HAWANA DOGO,WATUMA UJUMBE YANGA
UONGOZI wa Namungo umebainisha kwamba malengo makubwa ambayo wanayo ni kuweza kushinda mechi zao zote zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na ule dhidi ya Yanga. Leo Novemba 20, Namungo FC itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu majira ya saa 10:00 jioni. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Namungo FC,…