
REKODI ZA KADO MANUNGU NDANI YA DAKIKA 90
KUTOKANA na kitendo chake cha kupoteza muda mwamuzi wa kati Nassoro Mwinchui aliweza kumuonyesha kadi ya njano kipa Shaban Kado. Mbali na kadi hiyo aliweza kutimiza majukumu yake vema akiwa na jezi ya Mtibwa Sugar wakati wakiibana Simba kushindwa kupenya katika ngome za Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu na alitumia dakika zote 90. Kado alikuwa…