
VIDEO:HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WALIOITWA STARS MTAZAME KOCHA
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ametaja majina ya wachezaji ambao watakuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kwa ajili ya mechi za kirafiki zilizo kwenye Kalenda ya FIFA. Hivi ndivyo ambavyo aliweza kuwataja nyota hao Machi 15,2022.