MBEYA CITY WANATAKA TANO BORA

MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22. Ni mechi sita imeshinda kati ya 21 ambazo imecheza kwa msimu huu ndani ya ligi ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Imekusanya pointi 28 ipo nafasi ya 5 huku kinara akiwa ni Yanga…

Read More

VIDEO:YANGA WATAMBA,TABU IPO PALEPALE

MZEE wa Utopolo shabiki wa Yanga kutoka Iringa mkazi wa Majohe amebainisha kuwa kugawana pointi mojamoja na watani zao wa jadi Simba maana yake ni kwamba tabu ipo palepale kwa kuwa wamewazidi kwa pointi zilezile ambazo walikuwa wamewazidi awali. Jumla ya pointi 55 wamefikisha Yanga baada ya kucheza mechi 21 huku Simba ikiwa na pointi…

Read More

FT: YANGA 0-0 SIMBA

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa ubao kusoma Yanga 0-0 Simba. Ulikuwa ni mchezo mkali wa mzunguko wa pili na kufanya dk 180 kukamilika bila kufungana. Ule wa awali,ubao ulisoma Simba 0-0 Yanga hivyo katika msako wa pointi 6 wamegawana pointi mbilimbili. Mwamuzi wa kati Ramadhan Kayoko alionekana kuwa na presha mwanzo kabla ya…

Read More

YANGA YATAJA MABAO ITAKAYOIFUNGA SIMBA

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo kati ya Yanga v Simba, vinara wa Ligi Kuu Bara, wametaja idadi ya mabao ambayo wanaamini watashinda. Vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 54 na wamecheza mechi 20 wanafuatiwa na Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 19. Ni…

Read More

KIUNGO SAKHO HANA PRESHA KUHUSU YANGA

WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, huku akibainisha kwamba, anauchukulia mchezo huo kama mingine aliyowahi kucheza. Sakho ambaye amejiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu, amekuwa moja ya wachezaji bora ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango alichokionesha…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA V YANGA, UWANJA WA MKAPA

APRILI 30,2022 leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Simba. Huenda Pablo Franco, Kocha Mkuu wa Simba akapanga kete zake namna hii:- Aishi Manula Zimbwe Henock Inonga Joash Onyango Shomari Kapombe Pape Sakho Sadio Kanoute Jonas Mkude Clatous Chama Meddie Kagere Bernard…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA V SIMBA

DABI ya Kariakoo inasubiriwa kwa shauku kubwa ambapo kila timu inasaka pointi tatu muhimu. Huenda kikosi cha Yanga kikawa namna hii:- Diara Djigui  Djuma Shaban Bakari Mwamnyeto Dickson Job Kibwana Shomari Yannick Bangala Farid Mussa Sure Boy Khalid Aucho Fiston Mayele Feisal Salum

Read More

GEITA GOLD WATOSHANA NGUVU NA AZAM FC

LICHA ya kuweza kuongoza mpaka dakika ya 87,Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro imekwama kusepa na pointi tatu mazima. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ambao ni wa ligi umechezwa leo Aprili 29,2022 Uwanja wa Nyankumbu. Ni mabao ya George Mpole dk ya 26 na anafikisha bao la 11 ndani ya…

Read More