
YANGA YAKWAMA MBELE YA TANZANIA PRISONS
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi wamekwama kusepa na pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Hata Prisons nao wamekwama kupata pointi tatu zaidi ya kuambulia pointi moja wakiwa kwenye hatari ya kushuka daraja. Kwenye msimamo Prisons ipo nafasi ya 14 na pointi 23…