
SAUTI:KIUNGO MPYA AMBAYE AMETUA JANGWANI ATABIRIWA MAKUBWA
GAEL Bigirimana ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga linapewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23 kutokana na uzoefu ambao anao.
GAEL Bigirimana ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga linapewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23 kutokana na uzoefu ambao anao.
KAMBI Yanga imenoga,Simba haipoi ndani ya Spoti Xtra Jumanne
MASTAA watatu wa kimataifa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za Simba ambayo jana ilimtambulisha nyota mpya ambaye Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar. Kapama yeye ni mzawa amepewa dili la miaka miwili kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo. Cesar Manzoki huyu ni raia wa Uganda kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho na…
JULAI 22,2022 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka Dar na kuibukia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 watakaa huko hadi Agosti 12,2022 kwenye Mji wa El Gouna, Kwa Mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amebainisha hayo kwa kuweka wazi kuwa hayo yametokea baada ya vikao kuweza…
JOYCE Lomalisa ni nyota mpya ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kutambulishwa usiku wa kuamkia leo Julai 12,2022 na mabosi wa timu hiyo ambayo imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22. Yeye ni beki raia wa DR Congo kwa dili la miaka miwili ambapo alikuwa akicheza Klabu ya Bravaso do Maqui…
AISHI Manula,kipa namba moja wa Simba inatajwa kwamba bado hajasaini ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho ambacho kimemaliza ligi kikiwa nafasi ya pili katika ligi.
MWANDISHI mkongwe wa Habari za Michezo, Saleh Ally, ‘Jembe’ ameweka wazi kuwa kuhusu kushindwa kwa Simba sio Barbara pekee bali ni Simba wenyewe kiujumla na kwenye upande wa usajili wamekuwa wakifanya kazi nzuri kwa kufanya usajili mzuri ikiwa ni pamoja na Pape Sakho huku wengine wakiwa waliletwa na Simba kisha wakasajiliwa na timu nyingine. Pia…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kambi yao kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23 itakuwa nchini Misri ambapo kwa ajili ya msimu wa 2022/23 kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit
NASSORO Kapama ni nyota mpya wa Simba akiwa ametambulishwa leo Julai 11,2022 Kapama ni mzawa wa pili kutambulishwa ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuanza na Habib Kyombo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza. Nyota huyu alikuwa anacheza Kagera Sugar msimu wa 2021/22 hivyo msimu wa 2022/22 atakuwa ndani ya kikosi cha Simba….
RASMI Metacha Mnata ni mali ya Singida Big Stars ambayo imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu ikitokea Championship. Julai 10,2022 Singida iliweza kumtambulisha nyota huyo kwa kubainisha kwamba atakuwa ni mchezaji wao rasmi. Mnata alikuwa ndani ya Polisi Tanzania kwa msimu uliopita wa 2021/22 ambapo aliweza kukusanya jumla ya clean sheet 8. Hussein Masanza, Ofisa…
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold ameweka wazi kuwa kasi ya vijana wake kimataifa na kwenye ligi kwa msimu ujao wa 2022/23 itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Geita Gold msimu ujao itashiriki michuano ya kimataifa katika Kombe la Shirikisho baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya nne kwenye msimamo na pointi 46. Minziro…
USIKU wa tuzo umekwisha, ule usiku wa mastaa umefika kikomo hivyo mwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jambo lingine kubwa na gumu zaidi. Tunaona kwamba kila mmoja amepata kile ambacho amestahili baada ya ushindani kuwa mkubwa kwenye kila hatua. Makosa ambayo yametokea nina amini kwamba yatafanyiwa kazi hasa kwenye ratiba za tuzo pamoja na…
VICTOR Akpan kiungo mpya ndani ya Simba amesema kuwa ni furaha kwake kuwa kuwa katika kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Akpan ametambulishwa rasmi ndani ya Simba, jana Julai 10,2022 kwa dili la miaka miwili ambapo aliibuka hapo akitokea Coastal Union. Kiungo huyo ameweka bayana kwamba ni ndoto za wachezaji wengi kucheza…
RAIS wa Klabu ya Yanga,Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ametoa ahadi ya kuweka rekodi ya kuifanya Yanga kuwa timu ya kwanza kubeba ubingwa wa Caf. Yanga imebeba mataji matatu msimu wa 2021/22 ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) na Ngao ya…
YANGA mpya tishio Afrika,yawa gumzo kila kona makocha,wachambuzi wakubali muziki,Staa Mnigeria rasmi atambulishwa Simba ndani ya Championi Jumatatu.
MUDA wowote kuanzia sasa huenda Klabu ya Yanga ikamtambulisha beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga rasmi na timu hiyo. Mkongo huyo anajiunga na Yanga akitokea Bravos do Maqui ya Angola. Pia amewahi kucheza GD Interclube ya Angola, AS Vita (DR Congo) na Mouscron (Ubelgiji). Yanga imelazimika kumshusha…
JUMAPILI ya leo Julai 10 ni miaka mitatu kamili imetimia tangu aliyekuwa mwandishi chipukizi wa Gazeti la Spoti Xtra na Championi Ibrahim Mressy afariki dunia. Ilikuwa ni Julai 10,2019 taarifa za kutangulia kwake mbele za haki zilifika katika kituo chake cha kazi Gloal Pulishers,baada ya kuugua ghafla. Mbali na kuandikikia Magazeti ya Championi na Spoti…