
PHIRI MTAMBO WA MABAO SIMBA KIMATAIFA
STAA wa Simba Moses Phiri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katika mechi tatu kacheka na nyavu mara nne wakati timu hiyo ikipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa. Alifunga kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets kwenye hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo wa kwanza alitupia bao moja ugenini na mchezo wa pili Uwanja wa Mkapa…