
SIMBA INA KIBARUA KINGINE KIZITO KIMATAIFA
SIMBA imetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 4-1 dhidi ya de Agosto ya Angola ina kibarua kingine kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda ambaye ni mzawa mechi nne kashinda zote akishuhudia kipa namba moja Aishi Manula akitunguliwa bao moja. Ni Moses…