MCHEZO WA COASTAL UNION V DODOMA JIJI KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union v Dodoma Jiji kwa sasa utapangiwa tarehe nyingine baada ya ile ya awali kushindikana. Novemba 5,2022 mchezo huo ulipaswa kuchezwa kwa wababe hao kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Ni Uwanja wa Mkakwani Tanga mchezo huo ulipaswa kuchezwa ambapo timu zote zilikuwa zimefanya maadalizi…

Read More

MABAO YOTE YAFUTWA NA KOCHA MSIMBAZI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa matokeo yote ya mechi zilizopita amewaambia wachezaji wake wasahau na badala yake watazame kazi zinazofuata mbele. Mgunda akishirikiana na Seleman Matola kashuhudia kikosi hicho kikishinda mechi tatu, sare moja na kuambulia maumivu kwenye mchezo mmoja kwenye ligi. Ndani ya dakika 450, safu ya ushambuliaji imetupia mabao 10…

Read More

BEKI WA KAZI PIQUE ATANGAZA KUONDOKA BARCELONA

BEKI mwandamizi wa Barcelona, Gerard Pique ametangaza kuachana mazima na timu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Raia huyo wa Hispania alibainisha jambo hilo kupitia kipande cha video aliyoweka kwenye mitandao ya kijamii ambapo amesema kuwa mechi ya Jumamosi itakuwa ya mwisho ndani ya Camp Nou. Pique alionyesha picha zake za zamani akiwa kijana…

Read More

UKUTA WA SIMBA NGOMA NGUMU KWENYE LIGI

UKUTA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda umekuwa ni kama chuma kutokana na kuruhusu mabao machache. Simba ikiwa imecheza mechi 8 ambazo ni dakika 720 imeokota nyavuni mabao manne ikiwa na wastani wa kufungwa bao moja kila baada ya dakika 180. Ni Joash Onyango, Henock Inonga, Mohamed Hussein,Shomari Kapombe hawa ni…

Read More

YANGA WATAJA SABABU YA KUWAWAHI WAARABU

MAPEMA leo kikosi cha Yanga kimeanza safari kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Club Africain. Jesus Moloko nyota wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara ulioanza safari leo Novemba 4,2022 kuelekea nchini Tunisia. Bernard Morrison, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Diara, Mshery, Kibwana Shomari na Dickson Job nao…

Read More

AZAM FC SAFU YAO YA USHAMBULIAJI INAZIDI KUIMARIKA

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa washambuliaji wake wote wanazidi kuwa imara kwenye kila mchezo ambao wanacheza jamb linalowapa matokeo chanya. Staa Prince Dube wanamuita Mwana wa Mfalme amekuwa kwenye kasi nzuri katika mechi mbili za ligi za hivi karibuni akifunga mabao yaliyoipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Aliwatungua Simba na…

Read More

MAYELE: BADO TUNA NAFASI KIMATAIFA

NYOTA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa kwa kuwa morali bado ipo. Nyota huyo ambaye kwenye mechi dhidi ya Zalan FC alifunga jumla ya hat trick mbili, mchezo wa kwanza na ule wa pili ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Yanga. Alianza kikosi cha…

Read More

DILUNGA AFICHUA KUHUSU SIMBA

KIUNGO Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki.  Nyota huyo ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar kwa sasa kandarasi yake imemeguka na hajaongezewa mkataba mwingine akiwa ni huru. Ikumbukwe kwamba Dilunga hakutambulishwa siku ya Simba Day ambayo ilitumika kuwatambulisha wachezaji wapya…

Read More

MZAWA SIMBA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 MZAWA Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba. Ni kupitia tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Oktoba. Nyota huyo amewashinda wenzake ambao waliingia nao fainali ya kuwania tuzo hiyo ikiwa ni Joash Onyango na Augustine Okrah. Kiungo huyo ni chaguo la kwanza la…

Read More