WAZEE WA MPAPASO KUENDELEZA VIPIGO

WAZEE wa mpapaso, Ruvu Shooting wametamba kuwa kwa sasa ni mwendo wa vipigo kwa kila watakayekutana naye. Timu hiyo mchezo wake uliopita ikiwa Uwanja wa Jamhuri Morogoro ilishinda mabao 2-1 dhidi ya KMC. Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa hakuna atakayeweza kuwazuia kwa sasa kwenye mwendelezo huo baada ya kuwa kwenye mwendo…

Read More

MNYAMA ATAMBA KUMJUA NJE NDANI HOROYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unawatambua kwa umakini wapinzani wao Horoya kutokana na kuwasoma kwa muda kwenye mechi zao pamoja na mbinu ambazo wanacheza. Simba leo Februari 11 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi ikiwa kundi C na timu nyingine ni Vipers ya Uganda na Raja Casablanca ya Morocco….

Read More

MADRID NA KISHINDO FAINALI KOMBE LA DUNIA

HALI ya hewa hapa ni baridi kali lakini haizuii joto la mechi ya fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kuwa juu. Licha ya kwamba hakuna timu ya Morocco baada ya Wydad ambao ni mabingwa wa Afrika kutolewa mapema, bado hamu kubwa ya mashabiki ni kuiona Real Madrid. Madrid watacheza fainali hiyo leo Jumamosi kwenye…

Read More

AZAM FC YAANZA MATIZI KUMVUTIA KASI MNYAMA

KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Timu hiyo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 2-1 Azam FC. Februari 21,2023 saa 1:00 usiku Azam FC itakuwa kwenye kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Simba. Katika mchezo…

Read More

MORRISON AANZA KUPIGA TIZI KWA SIRI

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa kiungo wao mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison ameanza mazoezi ya binafsi ya siri kimyakimya. Mghana huyo yupo nje ya uwanja kwa miezi miwili akiuguza maumivu ya nyonga ambayo aliyapata mara baada ya kurejea nchini akitokea kwao Ghana alipokwenda kwa ajili ya matatizo binafsi. Staa huyo ameachwa katika msafara wa…

Read More

BALEKE AANDALIWA KUWAMALIZA HOROYA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kuwa mshambuliaji wake mpya Mkongomani, Jean Baleke yupo katika orodha ya wachezaji atakaowatumia katika mchezo wa kesho dhidi ya Horoya AC ya nchini Guinea. Simba jana alfajili walisafiri kuelekea Guinea kucheza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya AC…

Read More

MAPYA KUHUSU ATSU TETEMEKO LA UTURUKI

JANA usiku vyombo mbalimbali ya Habari kutoka Uturuki vilitoa taarifa kuwa nyota wa kimataifa wa Ghana Atsu hakuwa ameokolewa kama ambavyo iliripotiwa awali. Taarifa hizo zilikuja mara baada ya viongozi wa klabu yake ya sasa kuzunguka kwenye hospitali zote wakijaribu kumsaka bila mafanikio. Inadaiwa Christian Atsu bado amekwama kwenye kifusi yeye na meneja wake na…

Read More

MERIDIANBET YAFANYA UZINDUZI MKUBWA WA DUKA LA KUBETIA KINONDONI

Unapozungumzia starehe ya kubashiri mchezo huwezi kuwaacha Meridianbet wao ndio mabingwa wa hizi kazi, na kuthibitisha hili, wamezindua dula la kubashiri maeneo ya Kinondoni Mwanamboka. Fika sasa kubeti michezo yote imepewa ODDS kubwa na Machaguo Mengi. Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni Meridianbet wamezindua chimbo jipya la kubetia (duka la kubeti) maeneo ya…

Read More