SIMBA YATINGA 26 BORA MBELE YA COASTAL UNION

MIKATO yake anayotembeza kimyakimya ndani ya uwanja leo Sadio Kanoute kaihamishia kwa mlinda mlango wa Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 Coastal Union dakika ya 56 akiwa nje ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa Simba kwenye mchezo huo. Coastal Union walicheza kwa kujilinda muda mwingi jambo lililowapa ugumu Simba iliyomtumia Jean…

Read More

KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA SHIRIKISHO

NYOTA wa KMC, Emmanuel Mvuyekule mshuti wake akiwa nje ya 18 umewapa faida mashabiki wa timu hiyo na kunyanyuka kwenye viti. Ni kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu ambapo ubao wa Uwanja wa Uhuru umesomaKMC 1-0 COPCO. Bao hilo lilipachikwa dakika tano zikiwa zimesalia kugota dakika ya 90 baada ya dakika 84…

Read More

KOMBE LA FA SIMBA 0-0 COASTAL UNION

BONGE moja ya mchezo wa hatua ya raundi ya tatu Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-0 Coastal Union. Timu zote mbili zina kazi ya kusaka ushindi huku Coastal Union wakionekana kuwa imara kwenye kuziba njia zote za Simba kusaka ushindi wao wakifanya mashambulizi ya kushtukiza. Nyota mpya wa Simba, Ismail Sawadogo ameonyeshwa kadi ya njano…

Read More

HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA

KOMBE la Shirikisho Azam Sports Federation limezidi kuunguruma ambapo leo kuna mechi zitachezwa kusaka zile ztakazoshinda kutinga hatua ya 16 ora. Miongoni mwa mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa leo ni pamoja na Simba dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. Kwa mechi ambazo zilichezwa jana, Januari 27, matajiri wa Dar, Azam FC walishusha kichapo kwa Dodoma…

Read More

WAARABU WATUMA MASHUSHUSHU YANGA

KOCHA Mkuu wa Klabu ya US Monastir ya Tunisia, Darkov Novic ameweka wazi kuwa wanatambua wapinzani wao Yanga ni miongoni mwa timu bora katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini mipango yao ni kuhakikisha wanapata ushindi mkubwa kwa kuwa wanawajua vizuri na wamekuwa wakiwafuatilia wanapocheza. Novic ametoa kauli hiyo kuelekea katika mchezo wa kwanza…

Read More

CHELSEA KUTEKETEZA TENA BIL 101

KLABU ya Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya kumsajili Malo Gusto wa Lyon, kwa Euro milioni 40 (Sh bil 101.4) kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za habari ikiwemo ESPN. Hakuna ofa rasmi iliyotolewa na Chelsea kwa Gusto, lakini tayari amekubaliana na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka sita na nusu na anataka kuhamia Stamford Bridge. Lyon…

Read More

MBAPPE ANAMTAKA BERNARDO PSG

STAA wa Ufaransa, Kylian Mbappe anataka PSG imsajili Bernardo Silva wa Man City ili kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji la klabu hiyo. Mbappe anamtaka Silva kwenda kuungana naye Parc des Princes mwishoni mwa msimu huu. Silva, 28, alimwambia Rob Dawson wa ESPN msimu uliopita wakati wa majira ya joto kwamba mustakabali wake ndani ya…

Read More

TEN HAG: UNITED WATANYANYUA TAJI MSIMU HUU

KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag alisema kwamba timu yake ina nafasi nzuri ya kushinda taji lao la kwanza tangu 2017 msimu huu. Ten Hag aliyasema hayo wakati wanajiandaa kwa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Nottingham Forest juzi ambao walishinda mabao 3-0. United imekosolewa na mashabiki wao…

Read More

SIMBA KAMILI KUIVAA COASTAL UNION

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wote wa timu hiyo wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo. Ni Januari 28,2023 ambayo ni Jumamosi utapigwa…

Read More

MUSONDA AWATIBULIA MASTAA YANGA

MFUMO wa 4-4-2 anaotumia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kwa kuwachezesha washambuliaji wawili, huenda ukawavurugia viungo wa timu hiyo baadhi kujikuta wakisotea benchi katika michezo ijayo. Hiyo ni baada ya Yanga kufanikiwa kuipata saini ya mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu. Nabi amelazimika kutumia mfumo wa…

Read More

NABI AWEKA REKODI MPYA YANGA

BAADA ya kikosi cha Yanga chini ya Kocha Nasreddine Nabi kugotea kwenye mechi 49 mfululizo kucheza bila kupoteza katika Ligi Kuu Bara, kasi yao imekuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kushusha dozi kila wanayekutana naye, huku ikiaziacha mbali Simba na Azam. Ikumbukwe kwamba, Novemba 29, 2022 kwenye Uwanja wa Highland ubao uliposoma Ihefu 2-1…

Read More