
SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION, SAIDO ATUPIA
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Uhuru huku kikigotea nafasi ya pili vinara ni Yanga. Yanga ni namba moja kwenye msimamo wakiwa wamepata ushindi mbele ya Tanzania Prisons, Mbeya. Simba imekamilisha kazi yake kwa msimu wa 2022/23 ikiwa ni kupitia kwa Saido Ntibanzokiza aliyepachika mabao…