UGANDA 0-0 STARS

UBAO wa Uwanja wa Suez Canal huko Ismailia Misri unasoma Uganda 0-0 Tanzania. Ni mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 nchini Ivory Coast ambapo timu zotezinasaka pointi tatu. Mchezo ambao upo wazi kwa timu zote kupata matokeo kutokana na nafasi ambazo zinatengenezwa. Uganda wanaonekana kuwa imara hasa kwa kupeleka mashambulizi mara kwa mara mbele ya…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA UGANDA

UWANJA wa Suez Canal huko Ismailia Misri saa 11:00 jioni Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Uganda. Huu ni mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Afcon 2023 kikosi hiki hapa kinachotarajiwa kuanza:- Aishi Manula Dickson Job Novatus Dismas Bakari Mwamnyeto Ibrahim Bacca Himid Mao Simon Msuva Mzamiru…

Read More

MKWANJA WA SIMBA KUTUMIKA KWA UMAKINI

MWENYEKITI wa Bodi ya Simba, Salim Muhene amesema kuwa  udhamini ambao wamepata kwa timu ya vijana wenye thamani ya milioni 500 ni mkubwa na watatumia fedha hizo kwa umakini mkubwa. Machi 23Klabu ya Simba iliingia mkataba wenye thamani hiyo na Kampuni ya Mobiad Afrika katika Hotel ya Serena na viongozi wa pande zote mbili walikuwepo….

Read More

BAO LA MAYELE LASEPA NA TUZO CAF

BAO alilopachika mwamba Fiston Mayele kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir limechaguliwa kuwa bao bora kwa mzunguko wa tano. Nyota huyo mtambo wa mabao alipachika bao hilo kwenye mchezo uliochezwa Machi 19,2023 Uwanja wa Mkapa. Pasi ya mshikaji wake Kennedy Musonda ilikutana na Mayele aliyekuwa nje kidog ya 18 akaachia…

Read More

KMC WAIVUTIA KASI GEITA GOLD

WATOTO wa Kinondoni, KMC wameanza mazoezi kwa ajili ya mechi zijazo za Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili 2022/23. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kituo chake kinachofuata ni dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 11 ambapo awali ulitarajiwa kuchezwa Aprili 17ambapo KMC itakuwa nyumbani. Miongoni mwa nyota wa KMC…

Read More

TENGENEZA MKWANJA NA KASINO YA MTANDAONI

Mtu wangu wa nguvu nataka kusema na wewe kuhusu mchongo wa kupiga hela tu, na kila siku huwa nakuja na machimbo na mbinu kibao za kutengeneza mtonyo wako na kujiinua kiuchumi. Fuatilia story hii nzuri yenye mbinu za kutengeneza pesa haswa kwa njia ya kasino ya mtandaoni. Moja ya sehemu unayoweza kutengeneza mkwanja mrefu ni…

Read More

AUBA KAZI HAKUNA TENA

IMERIPOTIWA kuwa Chelsea wapo kwenye mpango wa kuvunja mkataba na staa wao Pierre Emerick Aubameyang mwishoni mwa msimu huu. Auba amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Chlesea chini ya Kocha Mkuu, Graham Potter. Tangu ametua hapo msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwa staa huyo. Ilikuwa dakikasaba tu alitumia nyota huyo kwenye mchezo…

Read More

BAO LA CHAMA LASEPA NA TUZO CAF

BAO la Clatous Chama alilofunga kwa mpira wa pigo huru dhidi ya Horoya AC limechaguliwa kuwa Bao Bora la Wiki la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa michezo ya mzunguko wa tano. Katika mchezo huo uliochezwa Machi 18,2023 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 7-0 Horoya. Ilikuwa ni bao la mapema zaidi dakika ya 10…

Read More

AZAM FC KIBARUANI LEO

KIKOSI cha Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongala leo Machi 22 kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar. Huu ni mchezo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za mashindano ambapo Azam FC inacheza Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Azam Sports Federation ikiwa imetinga hatua ya robo…

Read More

MAYELE ANATUPIA KIMATAIFA MUSONDA NAYE YUMO

KWENYE hatua ya makundi akiwa amecheza mechi tano Fiston Mayele kajaza kimiani mabao matatu akiwa amewatungua Real Bamako mabao mawili na US Monastir bao moja. Weka kando suala la uchoyo ambao ni asili ya washambuliaji wengi duniani Mayele ana pasi moja ya bao alitoa mchezo dhidi ya TP Mazembe Kwa mshikaji wake Tuisila Kisinda. Mkali…

Read More

KARIAKOO DABI MAKOSA YA KIBINADAMU YASIPEWE NAFASI

LIGI ya Wanawake Tanzania inazidi kuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kufanya kazi kubwa kusaka ushindi. Unaona kwamba msimu huu mpaka sasa bado hakuna timu ambayo imejihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa kutokana na mipango kazi ambayo inafanywa. Kwa sasa hilo ni jambo ambalo linapaswa kuendelea kupewa uangalizi na umakini hasa kwa kuboresha mazingira…

Read More