WAWILI WAONGEZWA STARS

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia amesema wachezaji wawili wazoefu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania. Hiyo ikiwa ni baada ya timu ya Stars kukamilisha mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Uganda na kuibuka na ushindi wa bao 1-0….

Read More

NGOMA NZITO KWA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA

NGOMA ni nzito kwa makocha wawili wa mitaa ya Kariakoo, Robeto Oliveira wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na kila mmoja kutusua na wachezaji wake kwenye anga la utupiaji. Ni wale wa Simba wanaongoza kumsimamisha Rob ambapo ni mara 9 alinyanyuka kwenye benchi kufurahia mabao yaliyozamishwa kimiani. Mwamba wa…

Read More

KOCHA SIMBA ANAAMINI VIWANGO VINAZIDI KUPANDA

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa maendeleo ya wachezaji wake pamoja na viwango vyao vinazidi kuwa imara kila siku. Kocha huyo raia wa Brazil amebainisha kuwa anafurahishwa na uwezo wa kila mchezaji kwa namna anavyojituma kwenye kikosi. Ijumaa wachezaji wa Simba walianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa…

Read More

MASTAA AZAM FC WAPEWA ONYO

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa amewaambia wachezaji wote wa timu hiyo ni lazima wajitafakari kutokana na matokeo wanayopata na kuonyesha kwa vitendo. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Highland ukisoma Ihefu 1-0 Azam FC jambo lililowafanya waache pointi tatu mazima ugenini. Imetolewa kwenye mwendo wa kuwania ubingwa…

Read More

HAALAND NI MASHINE YA MABAO HUKO

MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland yuko mbioni kufuta kabisa rekodi za ufungaji za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Na hivi karibuni anaweza kumpita mpinzani wake mkuu kwa sasa, Kylian Mbappe katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote. Haaland amekuwa mchezaji wa tatu kufunga mabao matano kwenye mechi moja…

Read More

ANGA LA KIMATAIFA SIMBA NA YANGA ZATESA KWA MKAPA

KWENYE anga la kimataifa wawakilishi wa Tanzania Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Yanga kwenye Kombe la Shirikisho wamefanya kweli kwa kukusanya pointi za kutosha Uwanja wa Mkapa. Yanga wamekimbiza kwenye kusepa na pointi ambazo ni 9 wakiwa hawajaacha hata moja katika mechi walizocheza Uwanja wa Mkapa huku Simba ikisepa na pointi sita na…

Read More

MSAKO WA VIPAJI UWE NA MWENDELEZO

MWENDELEZO mzuri kwenye uwekezaji kwa vijana unahitajika kuwa wa vitendo kwa kila timu na sio kuishia kupiga picha na porojo ambazo zinaishi kila siku. Ipo wazi kwa sasa vijana wengi wanaopewa nafasi kikosi cha kwanza kwenye timu za wakubwa wanahesibaki hasa ukiziweka kando Azam FC, Mtibwa Sugar, Ihefu na Kagera Sugar. Kuna timu ni ngumu…

Read More

MAYELE AWACHIMBA BITI ZITO TP MAZEMBE

MSHAMBULIAJI namba moja kwenye ligi akiwa na mabao 15 huku kwenye Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi akiwa na mabao matatu, Fiston Mayele amesema wanahitaji pointi kimataifa ugenini na nyumbani. Mayele raia wa DR Congo ameweka wazi kuwa kila mechi ambayo wanacheza ni muhimu kushinda ili kupata pointi tatu ambazo wanazihitaji. Ikumbukwe kwamba bao…

Read More

MANDONGA APIMA UZITO, KUPANDA ULINGONI LEO DHIDI YA LUKYAMUZI

BONDIA Karim Mandonga jana alifanikiwa kupima uzito tayari kwa pambano lake dhidi ya Kenneth Lukyamuzi, ambalo linatarajia kupigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Kasarani hapa Nairobi, Kenya. Mandonga na Lukyamuzi walipima uzito jana kwenye ofisi za makao makuu ya DStv ambao wanatarajia kurusha pambano hilo lisilokuwa la ubingwa ambalo litapigwa kwa raundi nane kwenye uzani…

Read More

MERIDIANBET YATOA REFLECTOR KWA POLISI KAWE

Kampuni ya Meridianbet kila iitwayo siku hufikiria watafanya nini kwaajili ya kuwaunga mkono wanaanchi ambapo hii leo wamefika eneo la kawe ambapo linapatikana jeshi la polisi na kuweza kutoa Reflector kwa polisi wa usalama barabarani, huku Refletor hizo zikipokelewa na mkuu wa kitengo hicho SP-Shatta OCD ndiye aliyepokea vifaa hivyo. Meridianbet hurudisha kile kidogo wakipatacho…

Read More

STARS YASEPA NA POINTI DHIDI YA UGANDA UGENINI

KAZI kubwa kwa vijana imefanywa kupambania nembo ya Tanzania na kufanikiwa kupata ushindi. Ubao wa Uwanja wa Suez Canal huko Ismailia Misri baada ya dakika 90 umesoma Uganda 0-1 Tanzania. Bao pek Ni mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 nchini Ivory Coast ambapo timu zotezinasaka pointi tatu. Mchezo ambao upo wazi kwa timu zote kupata…

Read More