GEITA GOLD WAIVUTIA KASI YANGA

WACHEZAJI wa Geita Gold chini ya Kocha Mkuu Fred Felix ‘Minziro’ wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wao wa hatua ya robo fainali Azam Sports Federation. Geita Gold watavaana na Yanga Aprili 8, 2023 katika dimba la Azam Complex Chamazi. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga walioshinda dhidi ya Coastal Union. Katika mchezo…

Read More

MASTAA AZAM FC WAREJEA WAANZA KAZI

MASTAA wa Azam FC waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wamerejea kambini na kuanza mazoezi na wachezaji wengine. Nyota wawili wa Azam walikuwa kwenye kikosi cha Stars ambacho kilikuwa na kazi ya kusaka pointi sita dhidi ya Uganda kuwania kufuzu Afcon 2023. Ni Abdul Suleiman, ‘Sopu’ na Nahodha msaidizi, Sospeter…

Read More

MERIDIANBET YAHAMIA KWA KINA MAMA WANAOJISHUGHULISHA NA MAMA NTILIE

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy Meridianbet inazidi kujipambanua kila iitwayo siku na kuwafikia watu wenye uhitaji mbalimbali wakiwemo Boda boda, walemavu, wachezaji na wengine wengi na sasa ni zamu ya Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese ambao waliweza kupatiwa…

Read More

FOUNTAIN GATE KUIBUKIA AFRIKA KUSINI

TIMU ya Wasichana ya Shule ya Fountain Gate chini ya umri wa miaka 15, inatarajiwa kuondoka nchini Aprili 2 kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa shule za Sekondari. Timu hiyo inakwenda katika Mashindajo hayo baada ya kufanikiwa kuwa Mabingwa wa Ukanda wa CECAFA kwa shule za Sekondari kwenye…

Read More

CONTE KASEPA NA KAKA YAKE SPURS

KOCHA Antonio Conte ameripotiwa kutoa baraka zake kwa wakufunzi wake kusalia Tottenham Hotspur – lakini kaka yake Gianluca anatazamiwa kumfuata kwenye safari ya kuondoka klabuni hapo. Muitaliano huyo hatimaye anaondoka Spurs kwa makubaliano ya pande zote kufuatia kutoa maneno ya kejeli dhidi ya wachezaji wake baada ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Southampton mapema…

Read More

MBRAZIL APITISHA PANGA KIMYA KIMYA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepanga kuwapa nafasi wachezaji wote kwa lengo la kuangalia uwezo wa kila mmoja kabla ya kukabidhi ripoti ya kuwatema baadhi ya mastaa kuelekea msimu ujao. Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi hicho katika msimu ujao kwa kusajili wachezaji wapya na kuwaongezea mikataba wale…

Read More

VITA NI KUWA, CHAMPIONSHIP INAWAHITAJI

VITA ni kubwa kwelikweli kwenye Championship kutokana na kila timu kupambana kupata matokeo mazuri ili kufikia malengo ambayo wamejiwekea. Hili ni muhimu kufanyika kwakila timu kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na kwa wale ambao wamekata tamaa bado muda upo wakuzinuduka kwa sasa. Kutokana na kila timu kuwa na mpango wa kupanda ligi kunaongeza ushindani na…

Read More

MESSI AFANYA KWELI ARGENTINA

TIMU ya taifa ya Argentina inayonolewa na Kocha Mkuu,Lionel Scaloni imeibuka na ushindi wa mabao 7-0 Curacao. Ni mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Unico Madre de Ciudades. Katika mchezo huo Lionel Messi ambaye ni nahodha alitupia kambani mabao matatu ilikuwa dakika ya 20,33,37. Nicolas Gonzalez dakika ya 23,Enzo Fernandez dakika ya 35,Angel Di Maria…

Read More