
BALEKE, CHAMA KWENYE KAZI NYINGINE
CLATOUS Chama, Jean Baleke na Saido Ntibanzokiza baada ya kutimiza majukumu yao kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali wakishuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Simba 5-1 Ihefu leo wana kazi nyingine kusaka ushindi. Mchezo wa leo ni wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate ikiwa ni mzunguko wa pili ule wa…