
KARIAKOO DABI INAHITAJI UMAKINI KWA WOTE
WIKIENDI hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga watashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mchezo ambao umebeba mambo mengi kuanzia ndani na nje ya uwanja. Ni mchezo ambao umebeba historia kubwa kwa watani hawa ambapo ni bora timu ikose…