
HESABU ZA KOCHA SIMBA ZIPO NAMNA HII
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka rekodi mpya kwa wachezaji hao kupata matokeo mapema kwenye mechi zaoili kuongeza hali ya kujiamini. Simba kwa sasa ipo Tanga ikiungana na timu nyingine ambazo ni Singida Fountain Gate, Yanga na Azam FC zitakazoshiriki Ngao ya Jamii. Oliveira anakibarua cha kuiongoza Simba kwenye mchezo dhidi ya…