
KOCHA SIMBA APENYA TATU BORA CAF
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amepenya katika orodha ya makocha watatu bora wanaowania tuzo za CAF 2023. Ikumbukwe kuwa kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira aliyefutwa kazi kutokana na kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya watani wa jadi Yanga. Oliveira alikuwa shuhuda ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5…