
MAKIPA WA KIGENI BAADAYE WATAKUWA TATIZO KWETU
MOJA ya timu za taifa zilizofanya vizuri sana kimataifa ni Misri na rekodi zao zimekuwa nzuri huku wakiendelea kuwatumia wachezaji wa nyumbani zaidi. Misri wamekuwa na wachezaji wengi wa nyumbani ambao wamekuwa wakiiwakilisha timu yao ya taifa vizuri. Bila ya ubishi ni kwamba hapa kuna uwekezaji mzuri zaidi au wa kipindi kirefu ambao umewafanya Misri…