
MASTAA SIMBA WAWACHANGANYA MABOSI
MASTAA Simba wamewachanganya mabosi wa timu hiyo kutokana na ubora walionao kwenye kutimiza majukumu yao uwanjani
MASTAA Simba wamewachanganya mabosi wa timu hiyo kutokana na ubora walionao kwenye kutimiza majukumu yao uwanjani
Mechi za Yanga kabla ya mechi za Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. ? Namungo – Machi 8 (Ruangwa) ? Ihefu Sc – Machi 11 (DSM) ? Geita Gold – Machi 14 (DSM) ? Azam Fc – Machi 17 (DSM)
Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli kwa ripoti zilizopo mchezo huu ni miongoni mwa michezo 10 pendwa inayoongoza kwa watu kuicheza. Waliotengeneza mchezo huu ni kampuni ya Expnase studios na kisha Meridianbet ikachukua jukumu la kuuleta kiganjani kwako, na kukupa ofa…
Hapa Meridianbet pale Tigo kwa ushirikiano wao wamekuja na promosheni kabambe ambayo itadumu kwa mwezi mmoja kuanzia Machi 1 mpaka April 31 itakayotoa zawadi za kutosha kila wiki, Ambapo promosheni hii itahusu wateja wanaobashiri kupitia Meridianbet na kuweka pesa kwenye akauti za Tigo Pesa. Kampuni hizi mbili zimedhamiria kuwafurahisha wateja wao kwani mteja yeyote ambaye…
Jumanne ya leo ni kwaajili ya mechi za UEFA na tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 pale ambapo unataka kubashiri mechi zako. Unasubiri nini? Ingia na ubashiri sasa. Bayern Munich leo watakuwa na kibarua kizito cha kupindua meza mbele ya Lazio huku wakiwa na mwenendo mbaya wa…
HAWA hapa watakutana na Simb/ Yanga kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika katika kusaka tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna taizo na mchezaji wao Prince Dube ambaye anahitaji kuondoka ni machaguo mawili anayo kuyafanya kwa sasa kuendelea na maisha yake ya soka bila tabu. Ipo wazi kwamba Dube ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24 kafunga jumla ya mabao saba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia ndani…
BAADA ya kukamilisha mwendo katika hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kituo kinachofuata ni mchezo wa Ligi Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi msimu wa 2023/24 ilikuwa dhidi ya Jwaneng Galaxy hawakuwa na chaguo lolote zaidi ya kushinda. Ushindi wa mabao 6-0…
AMEWAPOTEZA miamba wa Simba mwamba wa kazi Pacome kwenye mchezo waliokutana nao katika Karikoo Dabi Novemba 5 2023
BEKI wa kupanda na kushuka Henock Inonga ndani ya kikosi cha Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa ni mgeni rasmi alivuja jasho kinomanoma.
Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na mchezo wa matunda-Blazing Heat utakaongeza vitamin ya maisha yako kutokana na maokoto mengi. Blazing Heat ni mchezo wa sloti wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na mtayarishaji Redstone. Hakuna cha kushangaza sana katika mchezo huu wa…
MUUAJI anayetabasamu Prince Dube ameomba kuondoka ndani ya kikosi cha Azam FC baada ya kuandika barua ya kuomba kuvunja mkataba wake. Dube ambaye amekuwa akiwatesa wababe wa Kariakoo hasa Simba amekuwa na zali la kuwafunga kila anapokutana nao kwenye mechi za ushindani amekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo kati ya Simba na…
Klabu ya Arsenal baada ya kuwa na mapito mbalimbali ya kutokuwa na nafasi nzuri ndani ya EPL hataimaye waliamua kumsajili aliyekuwa mchezaji wao Mikel Arteta ambaye mpaka sasa anakionoa kikosi hicho. Na haya hapa ndiyo mafanikio yake. Mikel Arteta alizaliwa 1982 mwezi Machi Hispania ambapo alicheza katika vilabu mbalimbali wakati akiwa kijana. Alicheza vilabu kama…
CLATOUS Chama kiungo wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota waliokuwa na siku nzuri kazini kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy na alifanya kazi kubwa akishirikiana na wachezaji wengine kutimiza majukumu ndani ya uwanja wa Mkapa.
MWAMBA Pacome Zouzoa kiungo wa Yanga aliwavuruga Waarabu wa Algeria CR Belouizdad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutokana na kasi yake na pasi za uhakika akitumia zaidi mguu wake wa kulia. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 4-0 CR Belouizdad katika mchezo…
SHIRIKISHO la mpira barani Afrika limetangaza kuwa litapanga hivi karibuni siku maalumu kwaajili ya kupangwa kwa tarehe maalum ya kufanyika droo ya kupata timu ambazo zitafanikiwa kukutana kwenye robo fainali. Tanzania imefanikiwa kuingiza timu mbili ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali. Timu nyingine ni pamoja na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Esparence Tunis ya…